Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Njiwa nakutuma upeleke salamu...[emoji445][emoji445][emoji445]

Anayejua hili shairi aendelee [emoji16][emoji16][emoji16]
3dcfb8bc-0805-41f7-b31f-0a3616b7925b.gif
 
WANAUME MNAKWAMA HAPA

1. Chezea matiti ya mkeo, lakini usiuchezee moyo wake.

2. Ufungue moyo wa mkeo, lakini usiyafungue makovu yake.

3. Zifiche siri za mkeo, lakini usimfiche siri mkeo.

4. Yapige matatizo ya mkeo, lakini usimpige mkeo.

5. Msaidie kufanya maamuzi, lakini usimhukumu.

6. Itanue na uisambaze miguu yake, lakini usimsambazie magonjwa na maradhi ya zinaa.

7. Mtanie, lakini usimfanye kuwa kituko kwa watu wengine.

8. Cheka naye, lakini usimcheke.

9. Yanyonye matiti yake, lakini usiyanyonye maisha yake.

10. Mfanye apige kelele kitandani wakati wa mahaba, lakini usimfanye akapiga kelele kutokana na msongo na kipigo.

11. Ipoze hasira na ghadhabu yake, lakini usiikandamize sauti na maoni yake.

12. Mfanye atoe chozi la furaha, usimfanye atoe chozi la kifo cha penzi lako.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji120][emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndiyo maana Magufuli alisema ni vema wasamehewe madeni ya nyuma badala ya kupewa mikopo mipya
Huyu wetu ni kama anataka apewe misaada tu ya pesa ndiyo waendelee kuzikula na wandogo wake wa huko state house..na wakati huu biashara za wengine zinaendelea zikiharibika tu.

Magufuli ni mwanaume kamili na sio mtu wa kupakwa uchafu na vitu za uzungu ata kidogo. Nimemtabua sana kwa vile anaendeleza taifa lake na kupigana na corona.
 
Maambukizi ya Corona barani Afrika.
Takwimu hizi ni mpaka Asubuhi ya leo ?May 18 2020

1. Afrika Kusini 15,515
2. Misri 12,229
3.Algeria 7019
4.Morocco 6870
5. Nigeria 5959
6. Ghana 5735
7. Cameroon 3105
8. Guinea 2658
9. Sudani 2691
10. Senegal 2480.

Chanzo ni mashirika ya habari
 
Maambukizi ya Corona Afrika mashariki na nchi jirani.
1. DR Congo 1 465 vifo 61
2. Kenya 887 vifo 50
3. Zambia 753 vifo 7
4. Tanzania 509 vifo 21
5. Rwandan 292
6. Uganda 227
7. Msumbiji 137
8. Malawi 70 vifo 3
9. Burundi 23 kifo 1.
Chanzo ni mashirika ya habari
Mungu ibariki Afrika.
Tuondolee haya maradhi [emoji120]
 
Back
Top Bottom