Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Shaquille O'neal anasema ujumbe alioupata kutoka kwa bilionea Jeff Bezos mwanzilishi wa Amazon kuhusu uwekezaji ni kuwekeza katika vitu vinavyobadilisha maisha ya watu. Baada ya kusikia hivyo aliamua kuwekeza katika kampuni ya "Ring" inayojihusisha na utengenezaji wa vifaa vya ulinzi wa kielektroniki kwa njia bora zaidi ya kiteknolojia. Mwaka mmoja baadae "Ring" ilinunuliwa na Amazon kwa Tzs Trilioni 2.3
 
Back
Top Bottom