Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
3. Kompyuta humfanya mtu awe “addicted” kila muda ukiona kompyuta mikono inakuwasha.
Duh!!UNAUJUA VIZURI MWILI WAKO? ONGEZEA HAYA KUMI (10)
1. Bakteria
Kama ukitoa bakteria wote walioko ndani ya utumbo unaweza kujaza kikombe kimoja cha kahawa.
Aisee...3. Damu
Damu ya binadamu husafiri maili 60,000 kwa siku moja kutoka katika “Artery”, “Arterioles” na “Capillaries” kurudi katika “Venules” na “Veins”
Mh!!2. Hukuza heshima.Ukiwa na” business card” hukufanya upate heshima na hivyo kuonekana unajitambua katika shughuli yako.