Kujiepusha na magonjwa mbalimbali hasa yanayotokana na bacteria yanayoweza kutokana na kuazima kalamu au kutumia kalamu za jumuia mfano benki, mashuleni nk!
2.Kuharakisha mambo!. Ni mara ngapi umekwenda kulipia sehemu mara karani anapoteza dakika tano akitafuta kalamu yake? Au unajaza fomu na inabidi watu watano msubiri kalamu moja!
3.Itakupa uwezo wa kukumbuka vitu vidogo! Kwa mujibu wa wataalamu wa mabo ya saikolojia, ni rahisi kukumbuka kitu unapoandika kingine. Pia hukupa uwezo wa kupambanua mawazo yako!
4. Kubeba kalamu yako hukusaidia kutozubaa/kulala usingizi unapokuwa kwenye mikutano au vikao mbalimbali kwan utautumia muda wako kuwa makini kusikiliza ili upate vitu Muhimu vya kunakili.
6. Hukuongezea ubunifu hasa unapokuwa mpweke au umechoka, jaribu kuchora vidoti mbalimbali, viunganishe kwa namna mbalimbali, utajikuta umepata wazo Fulani ambalo pengine halikuwemo kichwani mwako.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.