Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

BANGUNGUTI"

👉Bangungut ni neno la kiphilipino ,kwa kiswahili hujulikana kama JINAMIZI,

ambapo huaminika ni jitu kubwa, zito lenye mfano wa mtu ambalo hukaa kifuani kwa mtu wakati anapo kuwa amelala haswa wakati wa sleeping paralysis...

hali hii inatokea pale mtu unapokuwa umelala na unajitambua lakini mwili unakuwa mzito na hauwezi kunyanyuka..

huwa wengi ikisha watokea hali hii hujawa na hofu na kuupelekea ubongo kutengeneza mawazo yanayo ambatana na picha kuwa kunakitu cha kutisha ...

sasa ukisha tengeneza hiyo picha machoni mwako utaona "Bangunguti/ Jinamizi" lina kuja au limekukalia kifuani na kukukaba kitu ambacho kina fanya mwili kuwa mzito haswa kifua na pumzi inakuwa ya tabu sana...

. 👉unambiwa hili Bangungut ni hatari kwasababu lina 10% ya kukusababishia kifo , hususani pale unapo shtuka ghafla ukiwa katika hali hiyo hivyo inauwezo wa kukusababishia heart attack (mshtuko wa moyo) na kufa ,ndomana mda mwingine unamkuta mtu amelala salama lakini Asubuhi Mnamkuta Amefariki...

👉endapo kama hali hii ya Bangungut inakutokea ,usiangaike inakubidi ufumbe macho kwa utulivu kisha chezesha kidole chako chochote , utakuwa salama ...


.pia jiepushe sana na stress wakati unapokuwa unaenda kulala. 🌟🌟🌟MWISHO??🌟????🌟
 
Hatimaye umenipa sababu ya kwanini Russia iljipenyeza kimyakimya kumfanyia kampeni hatimaye kumsaidia apate ushindi kwenye uchaguzi uliopita huyu bwana Trump.
 
Jihadhari kuwaamini wana siasa kupita kiasi.
Wanasiasa walinivuruga siku niliposhuhudia mtu aliyeitwa fisadi kwa miaka 8 akipewa fursa ya kugombea urais kwa njia ya mkato bila kumshindanisha na yeyote.
Tangu hapo nimedharau sana siasa.
Sasa anaonyesha mfano gani kwa sisi waumini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…