Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Aisee. Oktoba piga kura bana utimize haki yako ya kikatiba.Mimi hata kura ikupiga[emoji23][emoji23][emoji23]
Vigezo nilikuwa navyo ila nilikuwa nimefungiwa shule huko.
Japo na mimi nilikuwa naunga mkono hoja mzee kuhama chama kwa sababu tu alifanyiwa figisu Kwenye kura za maoni
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilipiga kura 2010[emoji3]Aisee. Oktoba piga kura bana utimize haki yako ya kikatiba.
Naona vyuo vinafunguliwa. Uko tayari?
2010 ulikuwa huna sifa za kupiga kura wewe. Acha kamba [emoji16][emoji16][emoji16]Nilipiga kura 2010[emoji3]
Hivi kumbe wanafungua!??
Acha wanetu wakasome
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilimpa kura yangu JK mwaka 20052010 ulikuwa huna sifa za kupiga kura wewe. Acha kamba [emoji16][emoji16][emoji16]
Maandaeitini kwa nini lakini mnapenda sana kujikuza?
Ngoja nikatafute vitafunwa😀😀Nilipiga kura 2010[emoji3]
Hivi kumbe wanafungua!??
Acha wanetu wakasome
Sent using Jamii Forums mobile app
Salama bro? Siku inaendaje hapo?2010 ulikuwa huna sifa za kupiga kura wewe. Acha kamba [emoji16][emoji16][emoji16]
Maandaeitini kwa nini lakini mnapenda sana kujikuza?
Hivi hii kazi ni ngumu sana? Hakuna majoka?Ajira. Kuvuna miwa Mtibwa sugar [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 1454535
Majoka yatakosekanaje? Ila sema tu uzuri wanachoma moto kwanza hivyo majoka na wanyama wengine wote wanakimbia. Nilishavuna sana miwa. Inaumiza mgongo kwa sababu unainama sana lakini kama bado uko andaeitini hakuna tatizo.
Sijambo bro na kila kitu kiko salama. Huko kwako vipi? Tumshukuru Mungu bro [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Salama bro? Siku inaendaje hapo?
Ilikuwa 2015. Ikarudi nyuma 2010. Sasa imerudi nyuma zaidi na kuwa 2005 wakati hata pengine ulikuwa darasa la kwanza au chekechea. Ai givapu [emoji16][emoji16][emoji16]Nilimpa kura yangu JK mwaka 2005
Kulikuwa na amsha amsha.
"Chagua ccm
Chagua Kikwete"
Kilimo kwanza[emoji3526]
Sent using Jamii Forums mobile app
Usiku wa kupeana joto