Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Disco la Mkoa Jpili

IMG_20200519_210207.jpg
 
Huyu mzee alifanya ujinga sana imagine mtoto wako akiona kwa tv ukichapwa na polisi na huyo mtoto anaamini hakuna mewenye anaweza chapa dad wake
Kwanini unazurula usiku?
Sasa nakuchapaView attachment 1454387
Hii ilikuwa ya huko mombasa siku za mwanzo mwanzo hivi wakati curfew ilikuwa na week moja.

Corona, naziunga mkono sera za Tanzania.
Si kwa unyama huuView attachment 1454391
Huyu labda awe ni mwizi. Hapo inaonekana kuna jua la jioni. Maskari wakifanyia mtu hivi human right nayo inaingilia na inawapeleka mbio sana mopaka wanaachishwa kazi.
 
Back
Top Bottom