capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Gamers + PlayStation = ISIS
Ostaadhi bana [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1454433
Salam kwenu wote
Mungu atupe siku njema
Mungu atupe mkate wetu wa leo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ngoja nikatafute vitafunwa😀😀
2005 nilikuwa na 18 ya kuniwezesha kupiga kura.wakati wa mkapa sikuweza kupiga kura maana nilikuwa na miaka pungufu.Mkapa anaingia madarakani Mimi Nina 8Ilikuwa 2015. Ikarudi nyuma 2010. Sasa imerudi nyuma zaidi na kuwa 2005 wakati hata pengine ulikuwa darasa la kwanza au chekechea. Ai givapu [emoji16][emoji16][emoji16]
Kosa kubwa sana pengine kuliko yote katika siasa (za upinzani) Bongo. Hata heka heka zinazoendelea huko ukichunguza vizuri chanzo chake kikuu kimojawapo ni hiki. Chama kilichokuwa makini kufumba na kufumbua kikapoteza nguzo mojawapo ya sera zake kuu (kupambana na mafisadi) na kubakia kuwa chama cha kudandia matukio tu bila kuwa na sera mama endelevu na falsafa jumuishi. Leo hii hata matunda kiliyovuna katika vuguvugu lile yanapukutika moja baada ya jingine (wenyewe wanasema yananunuliwa [emoji16]). Ni muda wa kurudi, kama wanavyosemega wenyewe, kwenye drawing board....
Siasa za Afrika ni shida.Nadhani waliovurugwa vizuri na huyu mtu ni wale walipiga deki barabara ili mzee wa kichwa cheupe apite[emoji3526]
Walipiga deki weee utadhani punda mwanapunda mfalme anapita .
Kuna jamaa yangu mmoja kutwa kucha kwenye maandamano ya mzee..basi alivyo mfupi [emoji3526]..akawa anainukia kucha amuone mzee.
Matokeo yake mzee akarudi zake CCM
Sijui waliwaambia nini watu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hovyo kabisa....wanafata maslahi tu..Siasa za Afrika ni shida.
Huku kwetu Temeke wana Ukawa walimpigania mbunge Abdallah Mtolea "CUF" kwa machozi, jasho damu kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2015.
Watu walikesha wakimpigania kwenye vituo vya kuhesabia kura.
Baada mshindi kutangazwa, walifanya maandamano makubwa toka kwenye kituo cha kuhesabia kura Uwanja wa Taifa mpaka nyumbani kwa mbunge huyo huko Buza.
Siku hiyo Temeke ilizizima kama wakati Mrema alivyopata ushindi dhidi Abdul Cisco Mtilo.
Maandamano hayo yalipofika Buza watu waliimba, walicheza nk, hali hiyo ilipelekea polisi kumuita Mbunge huyo ili awatawanye wafuasi wake.
Sasa tazama mbunge huyo aliondoka CUF kienyeji bila kuwafikiria wafuasi wake waliokesha na kuumizwa kwa ajili yake.
Ndiyo maana siwakubali wanasiasa
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Siasa za Afrika ni shida.
Huku kwetu Temeke wana Ukawa walimpigania mbunge Abdallah Mtolea "CUF" kwa machozi, jasho damu kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2015.
Watu walikesha wakimpigania kwenye vituo vya kuhesabia kura.
Baada mshindi kutangazwa, walifanya maandamano makubwa toka kwenye kituo cha kuhesabia kura Uwanja wa Taifa mpaka nyumbani kwa mbunge huyo huko Buza.
Siku hiyo Temeke ilizizima kama wakati Mrema alivyopata ushindi dhidi Abdul Cisco Mtilo.
Maandamano hayo yalipofika Buza watu waliimba, walicheza nk, hali hiyo ilipelekea polisi kumuita Mbunge huyo ili awatawanye wafuasi wake.
Sasa tazama mbunge huyo aliondoka CUF kienyeji bila kuwafikiria wafuasi wake waliokesha na kuumizwa kwa ajili yake.
Ndiyo maana siwakubali wanasiasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata sasa wanampambania sana ashinde kwa mara nyingine na mimi naamini kuwa atashinda hiyo Novemba. Huyu mgombea wa Democrat ni mzee mno halafu ni kama vile hayuko sawa kichwani. Miaka mingine minne ijayo basi Trump atakuwa amefanikiwa kuirudisha Amerika "nyumbani" na japo bado pengine itaendelea kuwa na masilaha makali na jeshi lenye nguvu kuliko mataifa mengine lakini kama vita vya Iraq na Afghanistan vilivyotuonyesha, maguvu ya kijeshi pekee siyo kigezo pekee cha kuwa mbabe wa dunia. Ushawishi wa kidiplomasia pia ni muhimu sana. Yaani ukisema jambo tu unasikilizwa. Unaheshimiwa. Na heshima hii unaipata kwa kuwa kwenye mikataba mingi pamoja na kuonyesha uwezo wako wa kiuchumi. Ndiyo maana Amerika ilikuwa ndiye mchangiaji mkuu katika mashirika mengi ya kimataifa na mtoa misaada mkuu duniani kote. Trump hataki yote haya na sera yake kuu ni Amerika kuangalia kwanza maslahi yake ya ndani. Lakini hata huku ndani kwenyewe ukiangalia vizuri sana sana kimsingi ni maslahi ya wazungu tu.
China na Urusi wakichanga karata zao vizuri huu ndiyo wakati mzuri wa kuibuka na kujitandaza duniani kote kama wanavyofanya katika nchi za Kiafrika. Na huu ndiyo unaweza kuwa mwanzo wa mmojawao kuwa supa pawa. Walichokuwa wanakipigania wakati wa vita baridi sasa wanaweza kukipata bure bila kurusha kombora la Nyuklia hata moja!
Wewe hukupiga deki au ulikuwa bado mdogo?
By the way, shikamoo [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Mimi hata kura ikupiga[emoji23][emoji23][emoji23]
Vigezo nilikuwa navyo ila nilikuwa nimefungiwa shule huko.
Japo na mimi nilikuwa naunga mkono hoja mzee kuhama chama kwa sababu tu alifanyiwa figisu Kwenye kura za maoni
Ni kweli kwamba hakufanyiwa figisu?Yule mzee hakufanyiwa fugisu kwenye kura za maoni za CCM.
Mamvi alikosa sifa za kumfanya kuwa mgombea hatimaye urais kwa tiketi ya chama chochote.
Mheshimiwa huyo alitumia nguvu kubwa kupata nafasi hiyo ndani ya chama chake.
Alitumia pesa akiwashawishi watendaji Serikalini na chamani wasimame upande wake.
Alitumia muda mwingi kufanya kampeni kuliko muda aliotumia kusaidia utendaji wa serikali ya chama chake.
Vitendo vyake vilitishia uhai wa CCM.
Nikwambie tu, kama si uhodari wa Kikwete, Kinana na Nape CCM ingekuwa historia.
Adhabu aliyopewa ya kukatwa alistahili.
Lakini pia alionyesha ni mwanasiasa asiye na msimamo ndiyo maana imekuwa rahisi kwake kukisaliti chama chake ambacho kilimuamini na kumpa uwaziri tangu zama za mzee Mwinyi, Mkapa na uwaziri mkuu na mjumbe wa kamati kuu ya CCM wakati wa Kikwete.
Kitendo chake cha kujiondoa Chadema kurejea CCM kimewaonyesha watu uwezo wake wa kisiasa.
Sent using Jamii Forums mobile app