Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwanza Nape hakuhusika kulifyeka jina la Lowasa,
Lowasa alikatwa na kamati ya ushauri ya CCM ambayo inaundwa na viongozi wastaafu.
Nape hakuwemo humo
Ni kweli kwamba hakufanyiwa figisu?
Hebu kuwa mkweli.

Nape alikata Jina la mzee sasa hivi naye anajuta tu huko alipo..siasa chafu Sana[emoji3]

Mimi mzee nilimsapoti,hata ningekuwa ndio Mimi nimekatwa jina kwa vyovyote vile ningeondoka.

Chadema sijui mwaka huu watakuja kwa style gani uvha mkuu[emoji3526]
 
"Waliokimbia Dar kuikwepa Corona warudi sasa tufanye kazi"-- Makonda
FB_IMG_1589961968264.jpeg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hiki kicheko kina maana kubwa sana. 2005 huyo dogo ama alikuwa bado yuko kwenye boksa ya mshua au ndo kwanza alikuwa anafakamia ziwa la mama. Eti anajifaragua tayari alikuwa mpiga kura [emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hamna mie nimecheka tu eti
 
Kwanza Nape hakuhusika kulifyeka jina la Lowasa,
Lowasa alikatwa na kamati ya ushauri ya CCM ambayo inaundwa na viongozi wastaafu.
Nape hakuwemo humo
Lowasa alikuwa amechafuka mno jamani. Miaka zaidi ya 10 akishambuliwa non stop na Chadema kuwa kigogo wa ufisadi katika siasa za Bongo CCM wasingeweza kumfanya mgombea wao. He was damaged goods japo alikuwa na ubabe wa pesa. CCM wangempitisha ningeshangaa sana; na wangekuwa na shida kubwa sana kumtetea.
tapatalk_1483530393028.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom