Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

400019100716_149894.jpg
 
Wewe kwa Kimalkia nakuaminia. Ulikuwa unakula na Shakespeare Lizarazu sahani moja. Watoto wa International school nyie tangu chekechea...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] khaa hivi unajua hilo neno ni nimetunga hapo hapo hata halina maana yoyote, mie kimalkia bado sana aisee.

Siwezi kumfikia Lizarazu hata robo
 
Lowasssa alijichafua na Chadema walitangaza uchafu wake kiasi cha kutosha.
Nilishangaa walipataje nguvu ya kumpa nafasi kubwa kama ile tena bila ushindani wowote.
Mpaka hivi sasa bado nawashangaa Chadema
Lowasa alikuwa amechafuka mno jamani. Miaka zaidi ya 10 akishambuliwa non stop na Chadema kuwa kigogo wa ufisadi katika siasa za Bongo CCM wasingeweza kumfanya mgombea wao. He was damaged goods japo alikuwa na ubabe wa pesa. CCM wangempitisha ningeshangaa sana; na wangekuwa na shida kubwa sana kumtetea.
View attachment 1454903

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom