Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Epuka baadhi ya vyakula ambavyo husababisha harufu mbaya mwilini. mfano vyakula vyenye sukari, na mafuta kwa wingi na vitunguu swaumu husababisha kutoa harufu. Andaa chakula chako pamoja na matunda ambayo yatafanya utoe hewa safi kinywani mwako.