Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
. Kuongea na simu huku ukifanya mambo mbali mbali ya ajabu unaweza ukapewa hata moto na ukapokea au kuweka kiatu ndani ya friji yaani akili yako inakuwa haiko eneo husika kabisa.
😀😀Hahahaaa...
Nimeambiwa wanachoma moto majoka yanakimbiaKwenye mashamba ya miwa inadaiwa kuna majoka kama yote