moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Hii ni kauli ya kisayansi au ya kisiasa?
View attachment 1456233
Salama.. Zako je?
Nzuri chief, havari za wewe mkuu?
Hii ni kauli ya kisayansi au ya kisiasa?
View attachment 1456233
Nipo shwari bro
Duh bro unapika kizungu kizungu. Huku tunawakausha kama kaukau au chichiliEsta njoo tayari wameshaiva tayari kwa dinner. Na leo nimewatia mafuta kidogo [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1456230
View attachment 1456231
Finally ninge kaachiwaaaaa
Ha ha ha... Mfungo uliniteka Numby...Finally ninge kaachiwaaaaa