Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Ha ha ha... Mfungo uliniteka Numby...
Mambo vp? Uzima upo hapo Nyasaka, maduka 9
Ha ha ha ha burigi home sweet home sio...mnatunyima nini hapoHahahaha poa naona unanihamisha tu,nimegoma mie burigi ni kwetu chato sweet home
Niaje Bro,Ha ha ha ha burigi home sweet home sio...mnatunyima nini hapo
Sanitizer na maji tiririka yaan bila kusahau nyungu za kutoshaHa ha ha ha burigi home sweet home sio...mnatunyima nini hapo
Fresh kaka, mambo vipi aise?unaendeleaje pande hizo?Niaje Bro,
Hahah jumapili tarajia ugeni wanguSanitizer na maji tiririka yaan bila kusahau nyungu za kutosha
Welcome,utapiga nyungu mpaka utasahau rona ilipoanzia na kuishiaHahah jumapili tarajia ugeni wangu