Maustaadh wote wa humu (KD, Moud, Mzee wa Urojo....) tualikane jama. Mbali na Kisesa kwa Ninge wapi tena kuna mnuso? Hata mabinti (Carba, Hawachi...) toeni mialiko pulizi...
_______________________________
Assalama Alaikum
Ofisi ya Mufti wa Z'bar inatangaza rasmin kuwa leo Jumamosi MWEZI UMEANDAMA. Mwezi umeonekana LAMU Matondooni na Singida manyoni, hivyo basi insha'Allah kesho tunaamkia mwezi mosi Shawwal.
Ofisi unawashukuru wote walioshiriki ktk kuleta taarifa hizi.
(Nadir M. Mahfoudh)
(Mjumbe)