Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuna watu hamnywagi maji ya kutosha halafu kila siku kulalamika kichwa kinauma mnaishia kufakamia Panadol. Kunyweni tu maji ya kutosha...
View attachment 1458760
Kuna siku niliumwa kichwa balaa,kumeza dawa sipendi nikakumbuka wiki inakata sijanywa maji kabisa,glass mbili zilitosha kunipa unafuu
 
Back
Top Bottom