Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kuna siku niliumwa kichwa balaa,kumeza dawa sipendi nikakumbuka wiki inakata sijanywa maji kabisa,glass mbili zilitosha kunipa unafuuKuna watu hamnywagi maji ya kutosha halafu kila siku kulalamika kichwa kinauma mnaishia kufakamia Panadol. Kunyweni tu maji ya kutosha...
View attachment 1458760