Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Lakini itabidi izingatiwe kwamba isitumiwe kwa watoto chini ya miaka 2, itumiwe kwa watoto zaidi ya umri huo kuwaondolea adha kama vile za kuumwa vichwa, kichefuchefu na kuumwa matumbo. Dozi ya tangawizi itolewe kulingana na uzito wa mtoto husika. Dozi nyingi za dawa za mitishamba hutolewa kwa kulinganishwa na dozi ya mtu mzima wa kilo 70, hivyo mtoto wa kilo 20 hadi 25 hupatiwa 1/3 ya dozi ya mtu mzima. Kwa ujumla kwa dozi ya mtu mzima huwa isizidi gramu 4 kila siku.