Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wanawake wana uwezo mkubwa wa kuwafanya wapenzi wao kuwa wanene, hii hutokana na kuwajali zaidi kwa kuwapatia chakula kizuri. Wanapenda wapenzi wao kuwa wanene sababu inayotajwa ni kuwafanya kutokuwa na mvuto mzuri kwa wanawake wengine.
Sasa hili la unene si linawapunguzia kutimiza majukumu mengine muhimu, ya utafutaji yaani! πŸ˜€ πŸ˜€ πŸšΆβ€β™‚οΈ πŸšΆβ€β™‚οΈ πŸšΆβ€β™‚οΈ
 
Wastani mwanaume kwa usiku uume husimama kuanzia mara 3-5 na hudumu kuanzia dakika 25 mpaka 35. Hakuna sababu maalum inayotajwa kuhusu kusimama kwa uume usiku.
Hia wi gooo [emoji16][emoji16][emoji16]

Bila Esta uzi huu utakufa wallahi. God kontinyu blesingi awa Esta [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Amen[emoji120][emoji120]
Shemeji nakukumbusha ile ahadi kuu (andiko) na ile ahadi ndogo ya nyongeza ya agano jipya kwa lugha ya kishamba.
Mungu akikujaalia nafasi kidogo ya kupumzika, basi, nikumbuke japo kwa awamu mbili, bado nina haja navyo.
Say no mo....

Vyote utavipata kesho tukijaliwa [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…