Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Leo umekuja kivingine kabisa. Kwa falsafa hii chanya kuhusu maisha hata Plato na Aristoto wakasome. Nikiongeza kitu nitaharibu...

Na leo sisomi kitu tena. Hii inatosha. Ni kuicheua tu na kuitafakari. Mungu na Akatusaidie [emoji1545][emoji1545]
Amen[emoji120][emoji120]
Shemeji nakukumbusha ile ahadi kuu (andiko) na ile ahadi ndogo ya nyongeza ya agano jipya kwa lugha ya kishamba.
Mungu akikujaalia nafasi kidogo ya kupumzika, basi, nikumbuke japo kwa awamu mbili, bado nina haja navyo.
 
Back
Top Bottom