Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
2. Mtoto Mchanga ana mifupa 60 zaidi ya mtu mzima
Huku kwema ankoo,sijui huko? Ndugu zangu hawajambo?[emoji1][emoji1][emoji1]Kwema huko Anko?
Naamini Mfungo wa Ramadan uliisha salama, na kama umeongeza sita basi Allah azidi kukutakasa[emoji120]
Ubarikiwe Ankoo kwa maneno yenye hekima na busaraNimeiangalia hii picha kwa jicho lingine kabisa...
Wanadamu tukubali kuwa si kila tatizo tulilo nalo ni la kulitatua, yapo mengine ni kwa ajili ya kutujenga kiimani na kutuheshimisha kwenye jamii, ikitokea binadamu huyo akaondoka duniani akiwa kwenye mapambano ya kutatua matatizo yasiyo tatulika kiasili, basi, ndugu na jamaa watamlilia na kumsifia kwa upambanaji wake pasi kuchoka hadi umauti kumfika.
Matatizo mengi yasiyo tatulika huwa hayajifichi, tumebeba mizigo vichwani mwetu, mikono yetu uhangaika kutafuta suluhisho, ni mizigo/matatizo ya asili,tutakufa nayo, tutaitwa MASHUJAA kwa kuipambania familia/jamii iliyo tuzunguka...
Tusichoke kujihangaisha kuzitatua changamoto zetu maana hatuzijui ni zipi zina tatulika na zipi ni za asili...
Natamani siku yangu ikifika ya kuondoka hapa duniani,basi, mizigo hii iwe moja ya sababu ya familia/jamii yangu kunililia na kunikumbuka katika maisha yao.
TUKIPATACHO TUGAWANE NA WENZETU WASIO JIWEZA [emoji120][emoji120]View attachment 1461594
Umeanza[emoji2]1. Mwanaume huzalisha mbegu milioni kumi za uzazi siku! Kwa maana hiyo, anauwezo wa kujaza idadi yote ya dunia kwa miezi sita tu!
Wewe[emoji2][emoji2][emoji2]Katika maisha yote ya binadamu anauwezo wa kuzalisha mate ya kujaza bwawa la kuogelea!
haha kweliWewe[emoji2][emoji2][emoji2]
haha kweliWewe[emoji2][emoji2][emoji2]
Umeanza[emoji2]
Hahaha hizi makala zakohaha kweli
Duh!!Kuna kilomita laki mbili za mishipa ya damu kwenye mwili wa binadamu!
He!!!Masikio na Pua huendelea kukua bila kikomo hata binadamu akifikia utu uzima