Haifungiki
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 3,156
- 14,847
AiseeMakao makuu ya jeshi la Wajerumani yalikuwa hapa, shule ya kwanza ya serikali ilianza hapa na iliitwa Tanga School. Mtaalamu wa mimea wa Kijerumani, Dr. Hindrof aliweza kusafirisha kwa siri miche ya katani, kutoka Yucatan Mexico, aliweza kuisafirisha kwa kuificha ndani ya tumbo la mamba aliyekufa. Miche 66 ilifika salama na hiyo ndiyoilionzisha kilimo cha mkonge nchini, kikianzia Tanga
Ngosha Ze Don aone hapa...Walipomaliza kifungo chao walirudishwa nyumbani kwao kwa ndege. Jamii ya Mwanamalundi ilipoona ndugu yao amerudishwa kwa ndege wakaamua kumpa jina jipya, "Ng'wenhwandege", wakimaanisha "aliyerudishwa kwa ndege". Mwanamalundi anaaminika kuwa ndie msukuma wa kwanza kupanda ndege. ngosha wa kwanza kupanda ndege bagesh