Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2020-05-29 reddit.png
 
Kwa kuwa nyakati hizo wafungwa wa visiwani walikuwa wakiachwa huru sababu hawataweza kutoroka, Mwanamalundi na Mtemi Makongoro walienda mpaka baharini ndani ya kisiwa hicho. Makongoro akiwa ameshika jiwe na Mwanamalundi akiwa ameshika fimbo. Makongoro aliporusha jiwe umbali mrefu baharini, Mwanamalundi aliyapiga maji kwa fimbo na kisha maji yakajitenga na kuacha njia mpaka pale lilipotua jiwe. Walifanya hivyo mpaka walivyofika bara (mainland). Wakatafuta mbegu za mihogo na viazi na kuonesheana miujiza.
Jamaa anagawanya maji utafikiri Musa [emoji16][emoji16][emoji16]

Kilichotuponza Waafrika ni ukosefu wa maandishi tu. Kisa kama hiki kingeandikwa vizuri tangu hapo mwanzo kikakolezwa na chumvi kibao tungekuwa na akina "yesu" wetu na misahafu yetu wenyewe ...
 
Back
Top Bottom