myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Wapi Shimba....Walipomaliza kifungo chao walirudishwa nyumbani kwao kwa ndege. Jamii ya Mwanamalundi ilipoona ndugu yao amerudishwa kwa ndege wakaamua kumpa jina jipya, "Ng'wenhwandege", wakimaanisha "aliyerudishwa kwa ndege". Mwanamalundi anaaminika kuwa ndie msukuma wa kwanza kupanda ndege. ngosha wa kwanza kupanda ndege bagesh