myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Jioni inaaga
[emoji120][emoji120]Poleni wakulima wote
Jioni inaaga
Tulia kwanza umalize kesi
Nilisimuliwa habari zake na bibi yangu nikiwa mdogo. Tungewahi kuandika hizi habari ingekuwa safi sana. Afrika Magharibi kule yupo jamaa anaitwa Sundiata naye hata Mwanamalundi akasome kwa maajabu yake. Ila ndo hivyo. Habari zao hazijaandikwa po pote. Wagiriki wa kale miungu yao yote imo vitabuni na watoto wanaisoma....Nimeona posti za babu yako.....alikuwa hatari sana