Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Safi sana [emoji1547]
Safi sana [emoji1547]
Kweli aiseee...tumepoteza kumbukumbu muhimu. Na wazungu wangetuheshimu.Nilisimuliwa habari zake na bibi yangu nikiwa mdogo. Tungewahi kuandika hizi habari ingekuwa safi sana. Afrika Magharibi kule yupo jamaa anaitwa Sundiata naye hata Mwanamalundi akasome kwa maajabu yake. Ila ndo hivyo. Habari zao hazijaandikwa po pote. Wagiriki wa kale miungu yao yote imo vitabuni na watoto wanaisoma....
Unataka kuona lijoka limoja likubwa linene lifupi fupi lenye misuli misuli nikuonyeshe? [emoji16]Yaani mimi nalike picha bila hata kuiona mweeh mwisho nilike hadi majoka ya Msukuma
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkinga njoo upate kitoweo hapa [emoji16][emoji16][emoji16]