ONTARIO
JF-Expert Member
- Oct 16, 2013
- 1,792
- 17,191
Niligonga hiyo Zanzibar Lukman... deliciousSamaki Sato
Niligonga hiyo Zanzibar Lukman... deliciousSamaki Sato
Hahahahah gizani kuna mengiBora ulivyoachwa kwenye mataa kuliko wangekuacha gizani.
Imekosekana Pilipili mbuzi tu.Niligonga hiyo Zanzibar Lukman... delicious![]()
SawqNaomba mtulie nataka kufagia na kufanya usafi kwenye hii thread.
HqhahahahAaah weee marufuku usafi humu,huo uchafu ndio likes zenyewe
Lakini sio yule Mengi mfanyabiashara maarufu.Hahahahah gizani kuna mengi
[emoji818] [emoji818] [emoji818]Mwanaume halali njaa bali huchelewa kula tu!
Au usiwe na akili kama za betri za tochi kukaa nyuma tu.Usigeuzwe kuwa tochi thamani yako iwe usiku tu