Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
☹☹☹17.asidi katika tumbo(gastric asid)huweza kuyeyusha kiwembe ukimeza ila haiwezi yeyusha kipande cha plastic
Pundamilia dume hujulikana kama Stallin na kwa upande wa jike hufahamika kama mare.
AiseePanther ni mnyama anayeishi kipweke (solitary)hukutana mara tu msimu wa kujamiana unapofika,baada ya miezio kadhaa ya ujauzito jike huzaa watoto wawili 2 mpaka 4.Ila kazi ya kulea watoto hufanywa na jike mwenyewe.
[emoji16][emoji16]