cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 29,011
- 79,226
Niligonga hiyo Zanzibar Lukman... delicious
Sio kweli,hata wazee tupo tunatoa stress za maisha.Nimegundua kuwa hapa wengi ni vijana
Hello hello
Cocochanel mpenda Samaki 😀😀Umenimaliza
Inavutia na mimi huwa napendaga za kila mtu na samaki wake nikiwaroast kwa oven kihivyo
Au asiwe kama sindano hafanyi kazi mpaka ashikwe nyumaAu usiwe na akili kama za betri za tochi kukaa nyuma tu.
Sio sindano mkuu ni mkasiAu asiwe kama sindano hafanyi kazi mpaka ashikwe nyuma
Jaribu wali na maharage, hibiscus lemonade, vegan cheese and salad... mamantilie wa sauziiiMchuzi wa njegere za nazi
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Na bora nimetokea maana we Mzee andjul kumesha kuchwea
Au asiwe kama Mkasi,hafanyi kazi mpaka atiwe vidole.Au asiwe kama sindano hafanyi kazi mpaka ashikwe nyuma
Kula likes kwanzaLakini sio yule Mengi mfanyabiashara maarufu.