Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Maandamano yanayoambatana na uharibifu wa mali yameshika kasi kwenye miji mbalimbali nchini Marekani.
SHIMBA YA BUYENZE na Yegomasika hali ikoje kwenye miji mnayoishiView attachment 1465786
Hapa nilipo hali shwari ila usiku hakuna kutoka kuanzia saa moja na nusu usiku mpaka saa 11 asubuhi. Naona wameweka kama tahadhari. Mabarabarani huko watu wamekusanyika na mabango yao yenye jumbe mbalimbali na honi zinapigwa kuunga mkono.
 
Nendeni mkaandamane pale kwenye ubalozi wao. Wao huwa wepesi sana kutoa tahadhari na habari mbaya kuhusu mataifa mengine. Ila dunia angalau sasa inapata nafasi ya kuwaona kwa uhalisia wao zaidi. Wamepoteza credibility na nadhani huu ndiyo mwanzo wa mwisho wa Amerika kama taifa lenye nguvu na ushawishi mkubwa duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…