Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
13.ukubwa wa eneo la hifadhi la wanayamapori na mapori ya akiba nchini Tanzania,ni zaidi ya ukubwa wa nchi ya ubelgiji na ujerumani kwa pamoja
Wuhuuuu. Wi da majoriti bebi...endi wi a wekingi apu [emoji1734][emoji1734][emoji1734][emoji1734][emoji1734][emoji1734]10.kuna zaidi ya makabila 120 Tanzania, kabila lenye watu wengi ni wasukuma.
Naona karidhika tu liwalo na liwe. Uzi nambari wani JF jamaa kauachia tu uende....Jembekillo we mbaba umekua mzembe hadi umenyang'anywa uzi
Huu uzi unapigwa vita kila kona aiseee ipo siku tukilala tukaamka hatutaukutaNaona karidhika tu liwalo na liwe. Uzi nambari wani JF jamaa kauachia tu uende....
Ila mamods nao dah [emoji16][emoji16][emoji16]
Hata duniani kote watumiaji wa twitter siyo wengi kivile kulinganisha na mitandao mingine (Chanzo: Ripoti zako mwenyewe). Pengine hii ndiyo sababu Twitter haijawahi kupata faida....19.Tanzania watumiaji wa tweeter wachache kuliko mitandao mingine
Daah bro hicho chanzo nshakisahau hahahahaHata duniani kote watumiaji wa twitter siyo wengi kivile kulinganisha na mitandao mingine (Chanzo: Ripoti zako mwenyewe). Pengine hii ndiyo sababu Twitter haijawahi kupata faida....
Wangeufuta mapema enzi zile za akina Ruta na Malkia watu hawalali. Sasa hata waufute sawa tu...Tutahamia kwenye kula/kuliwa tunda kimasikhara [emoji16][emoji16][emoji16]Huu uzi unapigwa vita kila kona aiseee ipo siku tukilala tukaamka hatutaukuta
Mie ntalogout na kuwa anonymous tuWangeufuta mapema enzi zile za akina Ruta na Malkia watu hawalali. Sasa hata waufute sawa tu...Tutahamia kwenye kula/kuliwa tunda kimasikhara [emoji16][emoji16][emoji16]
Hata kwenye top 10 hawamo...Daah bro hicho chanzo nshakisahau hahahaha
Marekani wanapitia wakati mgumu, nadhani hii inatokana na tabia yao ya kuvichukulia poa baadhi ya vitu vya msingi.Nendeni mkaandamane pale kwenye ubalozi wao. Wao huwa wepesi sana kutoa tahadhari na habari mbaya kuhusu mataifa mengine. Ila dunia angalau sasa inapata nafasi ya kuwaona kwa uhalisia wao zaidi. Wamepoteza credibility na nadhani huu ndiyo mwanzo wa mwisho wa Amerika kama taifa lenye nguvu na ushawishi mkubwa duniani.