moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Ubungo mambo safi[emoji2089][emoji2089]
Mungu atupe usiku mwema
Naona karidhika tu liwalo na liwe. Uzi nambari wani JF jamaa kauachia tu uende....
Ila mamods nao dah [emoji16][emoji16][emoji16]
Huu uzi unapigwa vita kila kona aiseee ipo siku tukilala tukaamka hatutaukuta
Wangeufuta mapema enzi zile za akina Ruta na Malkia watu hawalali. Sasa hata waufute sawa tu...Tutahamia kwenye kula/kuliwa tunda kimasikhara [emoji16][emoji16][emoji16]
Imekuaje?...Jembekillo we mbaba umekua mzembe hadi umenyang'anywa uzi
3. Mshtuko wa ubongo unaoupata ukipigwa busu ni sawa na mshtuko huo huo utaupata wakati unaruka angani(skydiving) au unaposubiri mtoko wa risasi(gun firing)
Alipotelea wapi huyu Baba Viv. Nilikuwa najiandaa kula ng'ombe wa mahari bageshi baada ya ndoa yako na yule mzee bahili wa Kinyakyusa kusambaratika...[emoji16][emoji16][emoji16]Enzi za kina Bob aka baba Vivy