Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

See the source image
 
Yule mzee nimemvumilia weeee wkt analima yale maparachichi yake, alivyoanza kuvuna tu akahamia na mjini jumla
Alipotelea wapi huyu Baba Viv. Nilikuwa najiandaa kula ng'ombe wa mahari bageshi baada ya ndoa yako na yule mzee bahili wa Kinyakyusa kusambaratika...[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom