Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 5,628
- 6,411
myoyambendi and moudgulf heshima kwenu wakuu.
George Floyd alikamatwa na polisi tarehe 25 may mwaka huu, kwa kosa la kununua sigara kwa noti bandia ya $20.
Mfanyakazi wa duka moja huko Minneapolis Minesota Marekani aliwapigia simu polisi hao kuwa mteja mmoja (George Floyd) ametoa noti bandia.
Polisi walimkamta kisha walimkaba shingo kwa mguu, kitendo hicho kilipelekea George kupoteza maisha.
Tukio hilo limehusishwa na ubaguzi wa rangi kwahiyo karibia miji yote nchini Marekani watu wanafanya maandamano usiku na mchana bila kujali Corona wala polisi.
Baadhi ya miji kumewekwa hali ya tahadhali ya kutembea usiku, lakini waandamanaji wanaendelea na harakati zao kama kawaida.
Naweka picha za George Floyd hapo chiniView attachment 1466413View attachment 1466414
Huyu ndiye George mwenyewe aliyeuwawa na polisi View attachment 1466416
Duh jamani[emoji26]Hapa George amekabwa shingoni na polisi.
Hata baada ya kulalamika kuwa hapati pumzi lakini askari huyo aliendelea kumdhibiti mpaka akafariki View attachment 1466417
Hee hivi kumbe Obama Ni mmarekani mweusi eeh?Waandamanaji wakipita mitaani kulalamikia unyama huo View attachment 1466422
wengine tukienda haja kubwa tunalala kabisa, raha ya haja kubwa ujipakaze kama mtotoKuna wataalamu wengi wamelizungumzia hili na ni kweli kuna matatizo mengi yanajitokeza kwa utumiaji wa vyoo vya kukaa kama constipation na haemorrhoids na pia matatizo ya mkojo
“Nilikasirika sana—nilimkasirikia yeye na kujikasirikia mimi mwenyewe! Tulikuwa tukitumiana ujumbe kila siku, na alionyesha anapendezwa na mimi. Hivyo, nilisitawisha hisia kumwelekea.”—Jasmine.
“Mtu anaweza tu kuanza kukutumia ujumbe kwa kuwa hana jambo lingine la kufanya wakati huo, lakini unaweza kuona jambo hilo kuwa ishara ya yeye kupendezwa nawe. Na ikiwa anakutumia ujumbe kila siku, unahisi kimakosa kwamba anakuona kuwa mtu wa pekee sana kwake.”—Jennifer.
“Mmoja anaweza kuwa anataka urafiki wa kimapenzi, wakati mwingine anataka tu mtu wa kuzungumza naye, atakayemtia moyo.”—James.
“Ujumbe rahisi kama ‘usiku mwema’ unaweza kuonwa kuwa ujumbe wa kimapenzi, lakini ujumbe huohuo ungeweza kutumwa kwa wororo na mtu anayeuza bidhaa kupitia simu.”—Hailey.
“Jumbe fupi yenye alama ya tabasamu inaweza kumaanisha ama ‘ninakuonyesha fadhili’ au ‘ninakuchezea kimapenzi.’ Wakati mwingine mtu anayepokea ujumbe huo anaweza kuhisi kwamba unamchezea kimapenzi.”—Alicia.
wengine tukienda haja kubwa tunalala kabisa, raha ya haja kubwa ujipakaze kama mtoto