Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Yule mzee nimemvumilia weeee wkt analima yale maparachichi yake, alivyoanza kuvuna tu akahamia na mjini jumla
Hafai yule. Eti anatuletea tung'ombe tumekonda tuna vichwa vikubwa kama siafu dume kha !!!

Ulifanya vyema kumpiga chini. Mzee wa Kinyakyusa bahili hata Wapare wakasome. We ni mwanamke shujaa [emoji1547][emoji1547][emoji1547]
 
Adjustments.jpg

Chagua ni lako
 
Wewe utakuwa rafiki tu kwake wala usiombe jambo lingine
Unampenda sana mtu fulani wa jinsia tofauti, na unajua kwamba yeye pia anakupenda. Isitoshe, huwa mnatumiana jumbe mara kwa mara, mnakuwa pamoja kwenye mikusanyiko ya watu . . . , na baadhi ya jumbe anazokutumia ni za kimapenzi.

Hivyo unaamua kumuuliza mtu huyo kuhusu uhusiano wenu, ili kupata uhakika ikiwa yeye pia anahisi hivyo. Anakujibu hivi: “Nakuona kama rafiki tu—hakuna jambo lingine.”
 
Back
Top Bottom