cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 29,011
- 79,226
Kulima, kupima.
Unamaanisha mlenda auWacha nikapate juice ya Bamia kwanza.
Wee umekaa sana kwa bibi yakoKula uhondo kwataka matendo, asiye na matendo hula uvundo
Kawaida tu mkuu.Asee jina lako na prfl vinaendana kinyama yani
Eti we ni chama gani?Kumpatia mlimaji chakula, mchezaji atapeleka vyo.
Nitaweka tuu mkuu sina haraka na hichi chomboKawaida tu mkuu.
Mbona uweki avatar kamanda
Bila shaka wewe ni muhengaMtama ni muwi na wapishi nao.
AiseehKuagiza [ni] kufyekeza.
SawaKuagiza sio kutengeneza