Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[SUB]
20200603_185013.jpg
[/SUB]
 
Huku safi ndugu yangu. Haya maandamano huyu Jangala ndio anazidi kuyachochea, anataka na yeye aonekane mbabe kama kale kakiduku ka North Korea wakati ni mifumo tofauti kabisa ya kiutawala. Hapo sasa ndio watu hawaelewi somo; leo naona Waziri wake wa Ulinzi kamruka, anasema Jeshi ni kwa jailli ya kupambana na maadui wa nje ya nchi na si kwa ajili ya kuwatwanga mabomu ya machozi raia wake. Huyu akili zake anazijua mwenyewe tu. [emoji16] [emoji16]
Aisee!!
Mungu azidi kuwalinda kwa kila namna
 
Chochea moto shemeji[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Maumivu ya kutapeliwa mahari yanauma sana yaani. Kaa mbali na Nsamaka please. Miaka 70+ sijawahi kuona mtu anatoa siafu dume akidai ni mahari...[emoji16][emoji16][emoji16]

Umeshaangalia email yako? Nilijaribisha mambo huko tangu wiki jana. Mkweche wangu wa TECNO ulinigomea eti mafaili makubwa.

Jaribu huko halafu unipe mrejesho.
 
Back
Top Bottom