Haifungiki
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 3,156
- 14,847
Aisee!!Huku safi ndugu yangu. Haya maandamano huyu Jangala ndio anazidi kuyachochea, anataka na yeye aonekane mbabe kama kale kakiduku ka North Korea wakati ni mifumo tofauti kabisa ya kiutawala. Hapo sasa ndio watu hawaelewi somo; leo naona Waziri wake wa Ulinzi kamruka, anasema Jeshi ni kwa jailli ya kupambana na maadui wa nje ya nchi na si kwa ajili ya kuwatwanga mabomu ya machozi raia wake. Huyu akili zake anazijua mwenyewe tu. [emoji16] [emoji16]
Chochea moto shemeji[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Muache kabisa kabisa sis...
Nakuunga mkono.....
2Sweet dreams
Maumivu ya kutapeliwa mahari yanauma sana yaani. Kaa mbali na Nsamaka please. Miaka 70+ sijawahi kuona mtu anatoa siafu dume akidai ni mahari...[emoji16][emoji16][emoji16]Chochea moto shemeji[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
AiseeUsiku wa kula vinono [emoji13][emoji13][emoji13]View attachment 1468149
Hakuziweza. Alitumia njia za kitapeli ...