Haifungiki
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 3,156
- 14,847
Are you my friend or my enemy ×2who are you?
| Thinking about. |
😂 😂 😂 sisy, ni wewe kweli?
Sauzi hiyo kamanda. Ground zero ya hizi bofulo...Kitu orijino...
Inasemekana ndo sababu mojawapo kuna maambukizi makubwa sana ya UKIMWI
Kweli tupu. Mwanaume aanze kusukuma ndinga ya uhakika na vidola mfukoni awe navyo aaa wapi. Wadangaji watamdanga tu hata awe mjanja namna gani [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Huyu naye vipi kamanda? Wamemdedisha ama?
Naamini upo tayari kurudi nyumbani tuendeleze kilimo chetu, si ndio?
Nadhani hofu ingetuua sana kuliko corona yenyewe.
Waswahili wana msemo usemao "Jogoo hafi kwa utitiri".
Mafua na kifua ni ugonjwa, lakini wafrika tunapitia magonjwa mazito zaidi kuliko mafua.
Kubwa zaidi tulimtanguliza Mungu mbele.
Mungu atatulinda Inshaallah [emoji120][emoji120][emoji120]
Wazee wa kilimo na soko la kwenye makaratasi,ni waongeaji wazuri sana lakini hata plot moja ya field hana [emoji1][emoji1][emoji1]
Usiku wa kufaudu vinono [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 1468822
Kweli tupu. Mwanaume aanze kusukuma ndinga ya uhakika na vidola mfukoni awe navyo aaa wapi. Wadangaji watamdanga tu hata awe mjanja namna gani [emoji2221][emoji2221][emoji2221]