Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hofu ni kitu kibaya sana, mi mwenyewe kuna siku kipindi hicho nikaamka kichwa na mafua yamebana.
Niliogopa sana, hos ht dokta hataki kunisogelea. Nikarudi nyumbani nikajiapiza kunywa maji mengi sana kila baada ya muda ila nikawa sina jinsi nikatengeneza na juisi ya limao na tangawizi.
Kesho yake nikaamka fresh.
 
Hv kwann huwa mnakuwa hivyo?
Maana ht mzee wa Tukuyu, kabla parachichi hazijaiva alikuwa safi mno ila alivyoanza kuvuna na kwenda mjini ikawa jumla akasahau na familia yake.
Kweli tupu. Mwanaume aanze kusukuma ndinga ya uhakika na vidola mfukoni awe navyo aaa wapi. Wadangaji watamdanga tu hata awe mjanja namna gani [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…