moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Huyu naye vipi kamanda? Wamemdedisha ama?
Hofu ni kitu kibaya sana, mi mwenyewe kuna siku kipindi hicho nikaamka kichwa na mafua yamebana.
Niliogopa sana, hos ht dokta hataki kunisogelea. Nikarudi nyumbani nikajiapiza kunywa maji mengi sana kila baada ya muda ila nikawa sina jinsi nikatengeneza na juisi ya limao na tangawizi.
Kesho yake nikaamka fresh.
Hofu ni maradhi mabaya aseee,
Kuna mwenzetu mmoja hapa alifikia hatua ya kutuaga kabisa kuwa kesho tusipomuona tujue amesha RIP,
Kesho yake akaja kutueleza kilichomsibu, yupo fiti tu.
Tumshukuru Mkulu kutuondoa hofu na kutuongoza kufanya maombi