moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
kwema kabisa kaka mkubwa za siku nyingi kidogo
majukumu ya kimaisha yanafanya tunapotea, lakini nimerudi hope wanajamvi wote ni wazimaUmepotea bro
majukumu ya kimaisha yanafanya tunapotea, lakini nimerudi hope wanajamvi wote ni wazima
Daembatata😝😝😝Kaachia hapo mbele uongeze jina unalotaka unaweza kuweka dae urojo dae ugali dae firigisi
watu wanatingwa na majukumu saa nyingine mtu unakosa hata dakika tano za kujumuika hukuTunamshukuru Mungu hapa wazima ingawa wengine hawaonekani
mke wako ameshazaa?ha ha ha kumbe ni huyu mpemba Dae mpenda urojo, ameanza lini hizi tabia
kazi kwao na ujinga waoKaachia hapo mbele uongeze jina unalotaka unaweza kuweka dae urojo dae ugali dae firigisi
mbona umefurahi saint?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
huko ulipokuwepo hakuna internet?majukumu ya kimaisha yanafanya tunapotea, lakini nimerudi hope wanajamvi wote ni wazima
bado ndo yupo kwenye third trimestermke wako ameshazaa?
mushachukua vipimo vya DNA?
======
uhali gani mdogo wangu,
karibu ndizi mbivu za nazi, wali na samaki
anataka kuniharibia siku yangu, lakini hanipati ng'o.Uchokozi huo ni daemusin
uwepo wa internet ni jambo moja na kupata mda wa kutumia hio internet ni jambo linginehuko ulipokuwepo hakuna internet?
mbona sababu yako ni ya kipumbavu mjinga wewe
wewe si ndiye uliyemuibia jembe killo uzi wake kwa kutumia id nyengine........umeona like 6 kwa kila comment hazitoshi.Tunamshukuru Mungu hapa wazima ingawa wengine hawaonekani