myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Weekend imeanza
AiseeSiku moja Mwalimu alitoka nyumbani jioni,muda mrefu ukapita bila yeye kurudi. Familia na walinzi wakawa na hofu,wakaanza kumtafuta kila kona ila hawakumpata.Wakaenda kwa Abbas Sykes naye kwa siri akawaambia kuwa Mwalimu yupo kwa Lucy Lameck wakaenda kwa mama huyo na wakamkuta.
[emoji818][emoji818]
Duh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwalimu hakukubali yanayoendelea kule Rhodesia lakini kitendo cha wanafunzi wa UDSM kufanya fujo hakikumpendeza,akawaambia waende kuomba msamaha kwenye ubalozi.Mwanafunzi mmoja akagoma,Mwalimu akaamuru apigwe bakora 6.Miongoni wa wanafunzi hao ni Samwel Sitta na Mzee Warioba
HahahaSiku moja Mwalimu alitoka nyumbani jioni,muda mrefu ukapita bila yeye kurudi. Familia na walinzi wakawa na hofu,wakaanza kumtafuta kila kona ila hawakumpata.Wakaenda kwa Abbas Sykes naye kwa siri akawaambia kuwa Mwalimu yupo kwa Lucy Lameck wakaenda kwa mama huyo na wakamkuta.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Maria alimpiga kibao mama Wicken na akamfukuza Msasani sababu ya ukaribu wake na Mwalimu.Pia Siku moja Maria aliingilia mkutano wa Mwalimu na mabalozi,Mwalimu akakasirika sana akamrudisha Butiama akakaa mwaka mmoja.Aliyekuja kuwapatanisha ni mama Machel mke wa Samora na Mandela.
View attachment 1469741
wivuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
It is official. Uzi huu unasua sua [emoji13][emoji13]
View attachment 1469597
Salama mzee wa varHabari za asubuhi mabibi na mabwana