Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23]
Kilimo ukijizatiti hakikuangushi.
Sana sana kilimo cha kumwagilia.
Kilimo cha umwagiliaji kina maadui wachache sana kuliko kilimo cha msimu
Njooni Morogoro kwenye bonde la mto Wami/Ruvu tupige pesa kwenye kilimo cha mahindi ya kuchoma, tikiti maji, vitunguu saumu na vitunguu maji.
Pesa njenjeMambo ni kama hayo.
Rafiki mkubwa ni maji tuView attachment 1468754View attachment 1468756View attachment 1468757View attachment 1468759
Keep it up
 
credit: ayubu madenge via twitter

1965 wanafunzi wa UDSM wakati huo kikiitwa UDC walifanya maandamano mpaka Ubalozi wa Uingereza kupinga yanayoendelea kule Rhodesia.Walipofika ubalozini wakapasua vioo,wakachoma gari la balozi na bendera ya taifa hilo.Mwalimu akakasirika akaamuru wakamatwe kisha akawaita ikulu.
 
ayubu madenge via twitter
Mwalimu alikutana na Joan Wicken 1956 huko UK.Urafiki wao ukadumu kwa takribani miaka 30.Ukaribu wao ukawafanya watoto wa familia fulani waseme ni “Nyerere na Mke wake mweupe”.Wicken ambaye hakuwa ana amini uwepo wa Mungu alikuwa msaidizi wa Mwalimu aliyezielewa fikra zake vizuri
1591386267731.png
 
Back
Top Bottom