Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
It is official. Uzi huu unasua sua [emoji13][emoji13]
AiseeIt is official. Uzi huu unasua sua [emoji13][emoji13]
View attachment 1469597
Watumiaji wengi wa iPhone ni wale wenye mapato ya chini na kawaida ambao wanataka kujionesha kuwa wenye pesa huku watumiaji wengi wa Huawei ni watu ambao ni matajiri, Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na kampuni kutoka China ya MobData mwaka 2018.