Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mnaojihisi mmekwama msikate tamaa. Kwenye mkwamo huo ndimo mna njia ya kufikia huko mnakokwenda. Mungu Aendelee kuwabariki [emoji16][emoji16][emoji16]
2.3245044518529183E18.jpg
 
Watumiaji wengi wa iPhone ni wale wenye mapato ya chini na kawaida ambao wanataka kujionesha kuwa wenye pesa huku watumiaji wengi wa Huawei ni watu ambao ni matajiri, Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na kampuni kutoka China ya MobData mwaka 2018.
Hahaa hao wanajipigia pasi. Utafiti huu una mlengo wa kushoto na iPhone
 
Apps zinazo ongoza kwa kupakuliwa zaidi Google Play Store mpaka kufikia Machi, 2020.
1. WhatsApp Messenger- 56.71M
2. Tiktok- 48.94M
3. Instagram- 32.3M
4. FB- 25.55M
5. Slap Kings- 24.8M
6. Draw Climber- 24.56M
7. FB Messenger- 23.75M
8. Woodturning- 20.44M
9. FB Lite- 18.88M
10. Snapchat- 16.71M
Wachina naona wanataka kuleta mapinduzi sasa
 
Back
Top Bottom