Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ukimuacha Bibi Titi alikuwepo Lucy Lameck binti kutoka Moshi. Lucy alipikwa na TANU na akafanikiwa kupata ufadhili wa kusoma Oxford.Akarudi Afrika akahudhuria mikutano mikubwa iliyoendeshwa na Tom Mboya na Nkrumah kisha alipokuwa na miaka 26 tu Mwalimu akamteua kuwa Naibu waziri.
 
Siku moja Mwalimu alitoka nyumbani jioni,muda mrefu ukapita bila yeye kurudi. Familia na walinzi wakawa na hofu,wakaanza kumtafuta kila kona ila hawakumpata.Wakaenda kwa Abbas Sykes naye kwa siri akawaambia kuwa Mwalimu yupo kwa Lucy Lameck wakaenda kwa mama huyo na wakamkuta.
 
Maria alimpiga kibao mama Wicken na akamfukuza Msasani sababu ya ukaribu wake na Mwalimu.Pia Siku moja Maria aliingilia mkutano wa Mwalimu na mabalozi,Mwalimu akakasirika sana akamrudisha Butiama akakaa mwaka mmoja.Aliyekuja kuwapatanisha ni mama Machel mke wa Samora na Mandela.
1591386574046.png



wivuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
shida ipo kiupande wangu, bado sijawa na device ya uhakika ya kuniunganisha kwenye ulimwengu wa internet.

huko kwa waandamanaji munaendelea salama?
Salama aisee. Watu wanaandamana kupinga uonevu. Device unayotumia kila siku imekuwaje? Umeidondoshea urojo ama? [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 
Salama aisee. Watu wanaandamana kupinga uonevu. Devina unayotumia kila siku imekuwaje? Umeidondoshea urojo ama? [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
“Ukitaka kuvaa barakoa kashone yako, mbona ni rahisi tu, barakoa mbona imekaa kama titi moja la Mtu mmoja hivi limekatwa upande mmoja, weka huku kama... aaah samahani Mh.Waziri nimesema hapa, nilikuwa nachomekea tu kidogo” -JPM
 
Back
Top Bottom