myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
uoe na wewe uone raha kulishwa na baba mkwetunajuana na huyo bwege, vita yetu hata simba hawezi kuingilia.
tokea mwezi february (valentine day) huyo bwege ndio ameonekana leo, anakuja na hoja ya ubize unaochangiwa na majukumu ya kila siku.
anatufanya sisi ni mapimbi maji, hao wamasai wanaosafiri eneo moja kwenda jengine wakiwa na kundi la mifugo yao wanapata muda wa kutumia internet sembuse mjinga huyo anayelishwa bure, kuvishwa bure na baba mkwe wake.
pengine ulikuwa ni mjamzito kama ni mwanamkeIla mbona ht mm nilipotea mwaka mzima[emoji14][emoji14][emoji14]
je wajua mkokaa ameshabadili jina?uoe na wewe uone raha kulishwa na baba mkwe