myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Mlio mapumziko amani iwe nanyi....
Anne mambo vipiNimefurahi Sasa Mama Maria alikuwa jasiri sana
Ilikuwaje jamani huu uzi ukahamishwa?
Maana nilikuwa na siku sijautembelea. Kuja nakuta mabadiliko
Daembatata ukiwa kwenye siku yako unasumbua sana
Mahindi ya kuchoma yanaendelea vema kwenye bonde la mto Wami/Ruvu hapa Duthumi MorogoroPoleni wakulima wote
Poleni wagonjwa, Mungu awaponye
Mungu atupe afya na uzima
Mungu atupe jioni njema
Umehamishwa kwakuwa mwenyewe ameupuuza