Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Washindwe shwaini zao [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]Its official mods wana vita na huu uziView attachment 1469939
Washindwe shwaini zao [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]Its official mods wana vita na huu uziView attachment 1469939
Duh!Chungulia kwa makiniView attachment 1470202
Wote hawa wameuliwa na mapolisi. Ndiyo maana jamaa wamechoka sasa....
View attachment 1470300
Abee mtunza mapacha wangu[emoji4]
[emoji23][emoji23] eti wivuuMaria alimpiga kibao mama Wicken na akamfukuza Msasani sababu ya ukaribu wake na Mwalimu.Pia Siku moja Maria aliingilia mkutano wa Mwalimu na mabalozi,Mwalimu akakasirika sana akamrudisha Butiama akakaa mwaka mmoja.Aliyekuja kuwapatanisha ni mama Machel mke wa Samora na Mandela.
View attachment 1469741
wivuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
Maria alikuwa kagomvii hivi[emoji16]......Mimi ni nani nisisumbue[emoji849]Pia Maria aliwahi kumuuma Mwalimu kidoleni akazua mtafaruku uliokuja kutulizwa na Inspekta Jenerali wa Polisi.Vile vile kuna wakati Mwalimu na Maria walikosana,Maria akarudi kijijini ikabidi watoto wao wamuite padri Walsh aje kuwapatanisha.Baada ya uongozi waliishi kwa utulivu.
View attachment 1469743
[emoji23][emoji23][emoji23] Jamanii....Na watuacheeIts official mods wana vita na huu uziView attachment 1469939
Cc : Tekashi [emoji847]